Showing posts with label NEWS. Show all posts
Showing posts with label NEWS. Show all posts

Tuesday, September 15, 2015

UMUHIMU WA KUNYWA RED WINE

Ripoti nyingi zilizotoka mwaka 2000 zimedhibitisha kwamba wine nyekundu zinafaida kubwa kiafya hasa kusaidia katika kupambana na magonjwa yanayohusu mzunguko wa damu na magonjwa ya moyo. 

Thursday, September 3, 2015

Saturday, August 29, 2015

WHY DO WE NEED PROBIOTIC DRINKS

It may seem hard to believe, but the human digestive system contains about 100 trillion microorganisms, commonly

Sunday, August 23, 2015

DEPRESSION

 
Depression is an episode of sadness or apathy along with other symptoms that lasts at least two consecutive weeks and is severe enough to interrupt daily activities. Depression is

Saturday, August 15, 2015

Thursday, August 13, 2015

Wednesday, August 12, 2015

TBS: TAARIFA KWA UMMA NA WAAGIZAJI WA MAGARI TOKA NJE YA NCHI

Shirika la viwango Tanzania (TBS) lilianzisha huduma ya kukagua magari yaliyotumika kutoka nje ya nchi tangu mwaka wa 2002. Lengo ni kuhakikisha magari yaliyotumika

Sunday, August 9, 2015

CCM VITI MAALUMU; WALIOSHINDA NA WALIOSHINDWA

UCHAGUZI wa Wabunge wa Viti Maalum umeleta sura nyingi mpya huku baadhi ya vigogo wakiwemo Maua Daftari, Alshaymaa Kweigy, Magreth Mkanga na Shyrose Bhanji

Saturday, August 8, 2015

TETESI ZA DR. SLAA KURUDI OFISINI ZAWAFANYA MAMIA KUKUSANYIKA

Mamia ya wanachama na mashabiki wa Chadema jana walifika katika ofisi za Makao Makuu ya chama hicho, Kinondoni Dar es Salaam kumsubiri Katibu Mkuu, Dk Willbrod Slaa baada

NEW JOB: RESTLESS DEVELOPMENT TANZANIA

Closing date: 5pm (EAT) on 19th August.
Length of Contract & Conditions: 1 year with the possibility of an extension
Salary: TZS 22,718,717 per annum (gross)

CHENGE AWA MWIBA KWA SEKRETARIETI YA MAADILI

Mbunge wa Baruadi Mgharibi, Andrew Chenge (kushoto) akipangua hoja za mwanasheria wa serikali aliyembele ya mwenyekiti wa Tume ya Maadili.
BARAZA la Sekretariati ya Maadili Tanzania imetoa siku tatu kuwasilisha faili la madai kwa aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Andrew Chenge anaeshutumiwa kupokea sh1.6

ZITTO: "WASALITI WA UPINZANI SIYO ACT-MAENDELEO"

KIONGOZI Mkuu wa ACT Wazalendo, Kabwe Zitto amewataka Watanzania wasikubali kugeuzwageuzwa kama chapati na baadhi ya wanasiasa wasioitakia mema Tanzania.

HUJUMA KWA UKAWA

Matukio ya hivi karibuni ya kujiuzulu kwa viongozi wakuu wawili wa vyama vikuu vya upinzania nchini vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Dk. Wilbroad Slaa

SERIKALI: "ulevi na uzembe mambo yanayochangia matukio ya uporaji silaha na mauaji ya polisi"

Serikali imesema matukio ya uporaji wa silaha na matukio ya mauaji ya askari wa Jeshi la Polisi nchini ya hivi karibuni, yanachangiwa na ulevi, uzembe katika doria pamoja na

MAALIM SEIF: "wale waliojiunga CUF kwa sababu ya Profesa, ruksa kubaki au kutoka"


Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewataka wanachama waliokuwa wakimuunga mkono, kuamua moja, kubaki ndani ya chama hicho kama alivyoamua

VIONGOZI WA CUF ILEMELA WAHAMIA ACT